Unaweza kua na Upendo sana kwa mpenzi wako,unampa kila kitu...
Unaenda kwa mahaba ya juu sana lakini ukaja kugundua kua
Anachepuka au ni kicheche wa kimataifa yaani anachepuka kiufundi sana......
Ukagundua anatembea na MTU wako wa karibu tu au MTU unaemjua halafu huwaga unamwamini sana.....