Laana ya Mungu imshukie aliyetupa huyu mtoto asubuhi hii, usimpe tena mtoto mwanamke huyu shetani mkubwa. Wakati anaanza kuhangaika kutafuta mtoto mkumbushe hili tendo kwa njia zako. Atembee azunguke Dunia aachwe na waume zake wote watakaomuoa kwa dhambi hii iliyopita kiwango. Kachanga kameshindwa kujitetea eee Mungu kapokee ukapumzishe kwenye raha ya milele. Sina hamu na huyu mama. LAANA KHUM