Magufuli .Mkuu wa hapa yuko wapi
Mmama : Mimi hapa mheshimiwa
Rais: mashine hii ndo mnakagulia mizigo inayo ingia?
Mmama: hapana hii mbovu tunakagulie ile pale Mbele
Rais : twende
Wanaelekea soon wakafika
Rais : hii ndio nzima
Mmama: ndiyo
Rais : iwashe nione
Mmama: anaye washa hayupo
Rais : anayewasha mashine hii yuko wapi
Ghafla anakuja
rais akasema iwashe hii mashine nione
Muwasha mashine : akawasha mashine
Rais mbona haifanyi kazi
Mwasha mashine : rais mashine hii imeharibika hivyo haifanyikazi
: Rais yule rafiki yangu aliyesema hii nzima yuko wapi
Mmama; aaahhh eeehh mheshimiwa hii ililikuwa nzima
Rais anamuuliza muwasha mashine .wewe sema ukweli mashine imeharibika lini
Muwasha mashine : kama miezi miwili iliyo pita
Rais : heeh we mama kwann unanidanganya unajua kwanini nimeanzia hapa
Mmama : Mh mi sio Mkuu wa hapa
Rais : anaye husika yuko wapi ( Mara anakuja akiwa hajui kilicho tokea )
Rais : we bwana mbona mashine hii ya kukagulia mizigo inayo ingia haifanyi kazi?
Mhusika Mkuu : aaah mheshimiwa rais imeharibika
Rais . imeharibika lini
Mhusika : kama wiki mbili hivi zilizo pita
Rais ; unanidanganya sema ukweli imehalibika lini
Mhusika : aahh mshimiwa baada ya kupewa taarifa ya ubovu wa mashine nlisha anza kuchukua hatua
Rais: taarifa ulipata link
Mhusika Mkuu: kama mwezi mmoja hivi
Rais : sasa mbona ulisema toka imeharibika INA wiki mbili
Rais : Jaman mnaona nnavyo danganywa na Hawa watu