Tigo Kuwalipa AY, Mwana FA Billioni 2.18 Kisa Piracy

Mahakama ya hakimu mkazi Ilala imeiamuru kampuniya Tigo kuwalipa wasanii Hamis Mwinjuma ‘Mwan FA’ na Ambwene Yessaya ‘AY’ kiasi cha shilingi Bilioni 2.18 baada ya kutumia nyimbo zao bila ridhaa.
Mhakama imeiamurukampuni ya Tigo kuwalipa wasanii hao kiasi hicho cha fedha kutokana na kutumia kama Caller Tune nyimbo zao ‘Dakika Moja na Usije Mjini; walizofanya kwa collaboration.
Hukumu hiyo imetolewa jana na wasanii hao wamedai kuwa ni kipindi kirefu sasa makampuni yamekuwa yakitumia kazi za wasanii bila kuwalipa na kujinufaisha wenyewe.
Aidha sheria yamasuala ya copyright nchiniipo kama ile inayotumika katika mataifa mengine makubwa duniani kama Marekani, Afrika Kusini, Uingereza na Jordan

The simple fact is you absolutely must be looking at using natural cancer treatments and natural remedies to cure yourself of this shocking disease right now.