Waziri wa viwanda wa Tz amekutana na CEO wa Toyota nchini Japan, Wameongea masuala ya uwekezaji wa viwanda mojawapo ni kujenga kiwanda cha kuunda magari ya Toyota under license.
Tayari wizara ya viwanda imetenga eneo hilo la uwekezaji wa kiwanda ambapo CEO wa Toyota Japan kasema wataanza ujenzi wa hicho kiwanda mwanzoni mwa mwaka 2017.
Baada ya kufanya upembuzi yakinifu wa eneo la ujenzi na kusema wataanza na kuunda magari ya under 2000 Cc ambapo soko kuu la uuzaji magari ya nchi za east Africa and Central Africa at least
25 % yatatokea Tanzania.
Vilevile CEO wa Toyota Japan ameahidi kujenga sambamba kiwanda cha kutengeneza spea za magari ya aina zote ya Toyota hapo hapo kitakapojengwa hicho kiwanda.

